" Shukrani Kwa Baba Wote Wa Watoto Wangu...," Hamisa Mobetto Thanks Her Babies' Daddies | Vosena News

” Shukrani Kwa Baba Wote Wa Watoto Wangu…,” Hamisa Mobetto Thanks Her Babies’ Daddies

91 Views
Loading...

Hamisa Mobetto has boldy come out to thank all the fathers to her children due to the care and support they offer to her. The video vixen video and actress is blessed with two children; a a boy from bongo star Diamond Platinumz and a first born girl.

In this message she posted on her social media handles she starts describing where she started, her struggles in life and also the achievements she has achieved in life.

It is not clear whether Hamisa is desperate, bitter or she posted this message in good faith since there has been a rumour that the grandmother to her second child hates and mistreats her so much.

Hamisa Mobetto woes started when she sneaked to Diamond’s mother’s house in Madale with singer Diamond Platinumz. Sandra the singer’s mother accidentally found out the incidence and confirmed beating the video vixen till she tore her weave and remained with it. She was not only beaten that day but also got pregnant.

After giving birth, there was also a feud between her and Diamond’s ex wife Zari Hassan where Zari accused her of sneaking into her house while she was in South Africa, slept with her husband and left cheap earings. Zari left her marriage due to infidelity from her ex husband with Hamisa.

Although she is determined to marry the singer, he recently revealed that Hamisa is just a side chic.

All that said, Hamisa Mobetto has decided to change, left her old ways and begun a new chapter in her life. She has apologised to anyone she wronged and also advised her fans not to abuse her haters on social media so as not to enter in any trouble.

This is the message Hamisa left for her fans all the world;

Pengine hufahamu alipotoka Hamisa Mobetto… Wacha nikufahamishe, nilianza kutambulika rasmi kwenye tasnia ya urembo mwaka 2010 baada ya kuibuka mshindi wa Miss XXL After School Bash. Njia ya mafanikio ilifunguka hapo na hatimae nilishiriki Miss Tanzania na Also Miss New World Tanzania Na Kua first Runner Up 2012.

Lakini Pia Nilifanikiwa Kushriki Miss UniAfrica na kuingia Top Ten… Safari ikaendelea na kwa kuwa urembo ni kipande cha sanaa niliingia kwa pia kwenye Bongo Movie na kucheza filamu kadhaa na huku pia nikiwa Video Vixen kwa baadhi ya nyimbo za Bongo Fleva…

Nisieleweke vibaya kwa hili, kitanda hakizai haramu… nilipata mtoto wangu wa kwanza miaka michache iliyopita na ninashukuru katika mahusiano yale nilipendwa mimi na mwanangu na kuhudumiwa kwa kila kilichohitajika baadae tena nikapata mtoto mwengine katika mahusiano mengine ambayo pia yalikuwa mazuri na huduma zote kama kawaida zilikuwepo na zinaendelea kuwepo mpaka sasa…

Shukrani kwa baba wote wa watoto wangu… Huyo ni mimi Hamisa Mobetto, safari hiyo imenifundisha mengi sana mpaka sasa na nafikiri nimekomaa kwa kiasi fulani…

Nashukuru Hamisa Mobetto imekuwa Brand kubwa mpaka kufikia kunipa ‘Deals’ mbalimbali zinazoendelea kuja (Alhamdullilah). Sio tu ‘Deals’ pekee bali hata fanbase imekuwa kubwa mno kitu ambacho ninakifurahia kwani ni Support kubwa sana ninaipata. Wapo walioamua kutengeneza page za Social Media mbalimbali kwa ajili ya kuonyesha support na wengine pia kutumia fursa hiyo kutengeneza ajira kupitia matangazo n.k nasemaje Yote Heri!

Dunia inaenda mbele na watu wanabadilika, pengine lifestyle ya zamani haikuwa nzuri na mpaka kusababisha ‘mambo flani flani’ kutokea katika maisha yangu lakini umri unapozidi kusonga mbele akili inatanuka na kujifunza mambo mengi kwenye maisha.

Hamisa wa sasa sio kama yule wa zamani, nimezidi kuwa na akili yenye kupambanua mabaya na mazuri na kuchukua hatua ili kuenda na kasi ya ukuaji wa akili yangu. Namshukuru Mungu ananiongoza vyema na naona baraka anazonipatia.

Nimeingia katika migogoro ya hapa na pale kama kutukanana na watu kwenye mitandao na yote hayo ni aidha kwa kufahamu au kutofahamu lakini kwa kuwa yamepita basi niyaache

 

Part 2 of her post read;

tu na niendelee na safari ya maisha nikiwa mpya kabisa. Fanbase nayo haikuniacha ilikuwa na mimi wakati wote huo kama ugomvi basi walipigana kwa ajili yangu.

Lakini pia inawezekana niliwahi kuwakwaza watu kwa mambo yangu, nichukue fursa hii KUWAOMBA SAMAHANI na kuwaahidi kuwa haitokuja kutokea tena kwa sababu Hamisa wa sasa nimebadilika na ndio maana sitahitaji tena kuingia kwenye ugomvi wa aina yoyote na mtu yeyote yule katika maisha yangu na pia niwaombe mashabiki zangu na Fanbase kwa ujumla iwe kwenye groups za whatsapp au pages za kwenye social media kutojihusisha na ugomvi au matusi na mtu yeyote atakaetaka ugomvi na mimi na badala yake nguvu kubwa iwe kwenye kuendelea kuni’support kwa nguvu kubwa.

Nia yangu ni kutowaingiza wale wanaonipenda katika matatizo kwa sababu hawastahili hata kidogo kupata shida kwa sababu yangu. Ninawapenda mno

Namalizia kwa kurudia tena ‘Dunia inaenda mbele na watu wanabadilika’

#NewHamisa
#NewLife

Asante na barikiwa sana!
#Balozi

Loading...

Add New Comment